Sunday, July 20, 2014

BILIONI 23

Kampuni ya upili kwa ukubwa katika
utengenezaji wa sigara nchini Marekani
imeagizwa kulipa kitita kikubwa cha dola
billioni 23 kwa mke wa mwathiriwa mmoja wa
sigara aliyefariki kutokana na saratani ya
mapafu.
Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Mjane
huyo Cynthia Robinson alichukua hatua dhidi
ya kampuni ya sigara ya R.J Reynolds baada
ya kifo cha mumewe aliyekuwa na miaka 36.
Kampuni hiyo imeyataja malipo hayo kama
yasio na haki na kusema kuwa itakata rufaa.
Wakili wa bi Robinson amesema kuwa kampuni
hiyo ya sigara iliuza sigara hizo bila kutoa
tahadhari yoyote kuhusu tishio la uvutaji wake.

Saturday, July 19, 2014

YOU NEED TO READ THIS

"Sio kila EX ni EXPIRED,EX zingine ni EXAMPLE:Utanielewa tu...
Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete...I will tell you WHY!!
Kuna watu walipendana sana lakini hao waliowapenda kwa moyo HAWAKUWAOA...kutokana na Situations fulani Mwanamke akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera ambazo 'Wanawake wanapenda' na kako vizuri financially IKABIDI huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la moyo' kidemokrasia tu aolewe na wewe...It doesnt matter how lakini hawa watu wawili walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa,ukamhamisha mkoa wasionane,Ukambadilishia namba za Simu wasiwasiliane tena,Itapita miaka hata 6 hawajatiana machoni ipo siku PAAAP,watakutana Kariakoo kwenye shopping,zile cheche na hamu na mapigo ya moyo yataruka upya,na kifuatacho ITV kitakuwa Isidingo
Mapenzi yao hayakufa...Pete haizuii kitu...Watajikuta wameunganisha Vikojoleo upya,tena kwa huba zito la kumisiana kwa hali ya juu,wewe ukidhani Pete pekee itamlinda,kumbe waapiii,na huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga,wewe umeoa kwa Mahari mwenzio anapiga Bureee bila Mshenga!
Kama nadanganya Wanandoa waje na waseme hapahapa....Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm na Integration,Ndoa ni Fumbo na walioweza kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa Mungu,ila Wengi wanadhani wamelifumbua Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego ulipo,Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu otherwise "UTAOLEA KIJIJI"

Friday, July 18, 2014

USAGAJI UMEENEA KWA RIKA ZOOTE

Katika hali ya kawaida tumezoea watu
wanaojihusisha na vitendo vya usagaji ni vibinti
umri wa kubalee , lakini hivi sasa imekua tofauti
kabisa mpaka wamama watu wazima wameanza
kufanya vitendo hivyo vya mapenzi ya jinsia
moja , kamera yetu imefanikia kuwamulika hawa
wakina mama watu wazima wakiwa wanafanya
uchafuu huo chooni, hii kwa kweli ni laana , hawa
badala ya kuwa mfano kwa kukemea vitendo ivyo
ndo kwanzaaa wao wanashiriki...

SIO MOTO

Baada ya kusambaa picha
zinazoonesha hotel ya Sanawari
ikiungua moto, Kamanda wa
Polisi mkoa wa Arusha akanusha
posted 3 hours ago by admin
Kumekuwa na taarifa na picha zinazoeleza kuwa
hotel ya kifahari ya Sanawari iliyoko karibu na
mataa ya Sanawari jijini Arusha inateketea kwa
moto.
Hata hivyo, kamanda wa polisi wa mkoa Arusha,
Liberatus Sabas ameiambia 100.5 Times Fm kuwa
habari hizo sio za kweli kwani hata yeye yuko
karibu na eneo hilo kiasi cha kuweza kuiona hotel
hiyo kwa mbali.
“Mimi siko kwenye hotel ya Sanawari lakini niko
karibu na hotel hiyo na kama kungekuwa na moto
nigeona.” Amesema Kamanda Sabas.
Kwa mujibu wa chanzo kimoja kilichoko jijini
Arusha, kikosi cha zima moto kimefika katika hotel
hiyo na kukuta mambo yako shwari na hakuna dalili
zozote za moto katika jengo hilo.