18+


   Kukojoa kwa mwanamke ndio kukoje? 

 



 "Mimi ni mwanamke wa miaka 30 tatizo kubwa linalonitatiza ni kuwa wakati wa kungonoka na mr. Nitajuaje kama nami pia nimekojoa??ebu nijue shosti coz huwa napata mtihani mkubwa sana sijui kama nishawahi "kukojoa" au la!
Kuna siku nyingine huwa napata raha up to the maximum yaani hadi nalia machozi kabisa sasa sijui huwa huko ndio "nakojoa" kwenyewe au ni mautamu tu?
Please i need the tips za kuniwezesha kutambua "kukojoa"thanx mumy! yours raht!"


Jawabu: 


Raht asante kwa kuwa wazi kwenye kuuliza swali lako. Natumaini majibu mazuri ya wasomaji wangu yatakuwa yamekusaidia kujua nini tofauti ya kufika kileleni, raha ya ngono na kukojoa kama matokeo ya kufika kileleni. Maelezo yao hakika yamejitosheleza na nimefurahi kuona watu wako wazi na huru kusaidia watu wengine....bomba sana. Mimi nitatoa mfano na maelezo kiasi tu kujazia yale yaliyokwisha elezwa.

Utamu unaousikia Raht to the maximum ndio kufika kileleni kwenyewe au unaweza kusema kukojoa japokuwa hutoi maji mengi kama baadhi ya wanawake, Ikiwa unasikia huo utamu, ukalia na kupiga kelele na kuhisi umajimaji umekuzidi ukeni na kutotaka kuendelea kwa muda yaani unakuwa too relaxed huku misuli ya uke ikimwenyua-mwenyua(kubana na kuachia) basi ujue umekojoa yaani umefikia mwisho wa safari.....na hongera sana!

Kama ilivyo kwenye kufika kilele sio wanawake wote wamejaaliwa kufikia Mshindo hali kadhalika sio wanawake wote wanaofika kileleni na kumwaga kama kama bomba. Sasa kama unataka kujua kama na wewe unauwezo wa kukojoa kwa kusikia utamu wa ngono na kumwaga ka' bomba mumeo atahitaji kufanya kazi ya ziada kufanikisha hilo.....mimi kama mwanamke sina tips.

Kuhisi kutaka kukojoa-Sehemu kubwa ya wachangiaji wamefananisha au kulinganisha hisia za kutaka kufika kileleni na zile za kuhisi kutaka kukojoa. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa lakini kama wewe ni mwanamke ambae hujawahi ufika kileleni na hujui hisia za utamu wa ngono ni wazi kuwa utadhani hisia hizo za kutaka kukojoa (mkojo wa kawaida yaani empting your bladder) ndio kufika kileleni kwenyewe lakini sio.

Baadhi ya wanwake huwa wanahisi hisia hizo za kutaka kukojoa mara tu uume unapoingia na hapo ndio huwa wanadhani kuwa huo ndio utamu wa Ngono unaopatikana kwa kusuguliwa kipele G, vilevile wapo ambao wanapata hisia hizo tendo likiendelea kwamuda mrefu na kudhania sasa wanafikia mshindo na kuachi makojo (kwa kawaida).....hufurahia wakihisi "nafuu" lakini unapofika kileleni au kukojoa kutokana na utamu wa ngono husikii "relief" (nafuu) kama ile ya ku-empty bladder, unasikia utamu wa hali ya juu yaani unaweza kutamani mchezo uendee tena na tena na wakati huo huo utahisi uke wako ukimwenyua mwenyua yaani kama unafunga na kuachia(kama unavyokaza misuli ya uke) which huwezi kufanya hivyo unapokojoa.....

Kama umewahi kuchezewa kisimi kwa ulimi na mumeo au hata kujichua kunahisia fulani za utamu unazipata sasa hisia hizo za utamu unazaozipata pale kisimini ndio ambazo unapaswa kuzipata unapoingiliwa ukeni na mumeo lakini itakuwa tamu zaidi kama vile mara tatu ya utamu wa kisimini.


Utamu huu wa ngono hauelezeki na wala huwezi kuufananisha unless unauzoefu na utamu huo via kisimi ndio utaelewa jinsi ulivyo.....kuhisi kutaka kukojoa na hatiame kuachia mkojo sio kukojoa kwa maana ya kufika kileleni, vinginevyo tusingehitaji wanaume wa kututia na badala yake tungekuwa tukinywa maji mengi ili kubanwa mkojo na kukojoa ili kuhisi utamu wa ngono.

Unajua wakati mwingine ngono ya kuingiliana (uume ndani ya uke) huwa ina-irritates the bladder(kifuko cha mkojo) na kukufanya wewe uhisi kutaka kukojoa kila unapofanya ngono nitakushauri ukamuona"Gynecologist" ili kuhakikisha kuwa huna tatizo la kitibabu ambalo linaweza kabisa kuwa Saratani au inawezekana una tatizo linaitwa Orgasmic dysfunction kwamba hujawahi kupata Kilele kwa namna yeyote ile (kama nilivyosema awali) hivyo basi upata hisia za kutaka kukojoa na unaweza kufurahia hisia hizo ukidhani ndio unafika kileleni lakini sio kilele bali kibofu chako kimejaa au kimesumbuliwa na kusababisha hisia hizo.

Kwa wanaume huenda wakawa wanahisi kukojoa kama wanavyokojoa mkojo wa kawaida kwani inasemekama (nitahakiki hili) kuwa manii/shahawa zinapita kwenye mrija ule ule ambao mkojo wa kawaida unapita hivyo kwao kuhisi kukojoa kama kukojoa as ku-empty kifuko cha mkojo haina maana na wanawake tuko hivyo, kwani kitundu cha mkojo kiko kwa nje katikati ya uke na kisimi(chini ya kisimi).

Hii huwafanya wanume wengi kudhania kuwa hisia za utamu wa kilele ni kama kutaka kukojoa lakini ukweli (kutokana na uzoefu) ni kuwa utamu wa kutombwa hauelezeki na haufananishiki na kitu chochote sio asali wala sukari.....ila utaelewa kama unajua utamu wa kisimu alafu ongeza mara 3.....au utamu wa kunyonywa kichwa cha uume kwa ustadi sasa utamu huo uwe mara 5 ndio utamu wa kilele cha G-spot! Unaweza kuzimia......

Natumaini utakuwa umepata majibu uliyotarajia.....kila la kheri. 


Imeandikwa na Dinalicious








Kwanini sehemu nyeti zimekolea kuliko mwili?

 

 


"DINAH,
NINA SWALI MIMI NI MDADA RANGI YA NGOZINI NYEUPE KIDOGO,SHIDA NI HUKU CHINI YAANI KUZUNGUKA MK... NIKWEUSI,KUZUNGUKA K....NIKWEUSIJE NI KAWAIDA AU ?????????"

Jawabu-Ni kweusi tii (kama mkaa/lami hihihihi) au rangi ya maeneo hayo imekolea kuliko ile ya sehemu nyingine ya mwili wako? Wanadamu wote weusi (asili ya kiafrika),weupe(wazungu)wale wa Asia na Waarabu maeneo hayo huwa na rangi tofauti na sehemu nyingine za mwili, baadhi rangi ya tumbo na ile ya mapaja hutofautiana, miguu na ile ya tumbo pia huwa tofauti.


Sina uhakika kwanini hasa maeneo hayo "hukolea" zaidi kuliko sehemu zilizo wazi nakupigwa na jua, Mfano Wazungu utagundua kuwa nyeti zao ni "brown" na sio nyeupe/pinki kama pua zao n.k. Kinachosikitisha ni kuwa hata ufanye nini maeneo hayo huwa hayabadiliki labda upake mkorogo kitu ambacho ni hatari sana kwa afya yako ya uzazi nahii ni kwa wake na waume.


Nimeamua kujibu haraka haraka kwa vile swali lako ni fupi mno, lakini naendelea kutafuta ukweli kwanini hasa matako, kwapa na maeneo nyeti ya mbele huwa "darker" kuliko sehemu nyingine za mwili, tena ukiwa mweusi sana basi huko ndio kunakuwa giza haswa!


Umenifanya nianze kufikiria mwanaume mweusi hehehehe alivyo huko kunako hasa kukiinuka kunapendeza sana hasa ukianza kulinganisha rangi ya "kichwa" na ile ya "shingo" alafu shina lenyewe hahahaha, siwajua pale unapokuwa una-give some love kwenye kiungo kitamu kuliko vyote mwilini mwake........asante kwa uwazi na ushirikiano wako.


Natambua hili ni swali ambalo husumbua sana vichwa vya watu ila kwa vile hakuna mtu(mpenzi) anaelalamika kutokanana "kiza" maeneo hayo unachukulia kawaida tu hasa ukizingatia hata na yeye makalio yake yamezimika kuliko kifua chake.

Imeandikwa na Dinalicious