Chini kwa Chini

 
Wema Sepetu sasa inadaiwa anataka kujiweka kwa Prezzo...
 

Yule mrembo asieishiwa vitimbi na aliyezoeleka  kukaa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya udaku WEMA SEPETU inadaiwa kwa sasa wanafutana machozi na kijana kutoka Kenya ambaye pia ni staa mwenye sifa kama zake za kuandikwa kwenye magazeti hiku akiandamwa na skendo kibaoo PREZZO kwa kuamua kuwa WAPENZIII etiiiii duuuuuuuuuuhhhhh  Amemshindwa Diamond....