Sunday, April 14, 2013

KIGAMBONI YETU

Hili ndilo daraja litakalotakiwa kujengwa

 



Na huu ndio mji wenyewe wa kigamboni utavyokuwa.....
 
 

Hivi hapa Tanzania tunaweza kufikia malengo haya? Mimi nawazia kale katabia ka udokozi wa mali za umma na ujengaji wa majengo kwa ukandarasi feki barabara zisizokuwa na viwango usainishwaji wa bajeti kiholela na uchafu mwingine kama huo... Je tutaweza kufikia haya malengo?