Sunday, April 14, 2013

ROSE MUHANDO

Una kila sababu za kupongezwa dada...
Tukilinganisha na wengine wewe ni pekee uliyeweza kudumu katika huduma ya uimbaji tokea ulipoanza hadi leo sauti yako imeganda masikioni mwetu.... Hongera saaana dada yetu.